Path

Success

Path Created with Sketch.

Warning

Path

Error

FREE SHIPPING Every Day With Purchases Of $60 Or More Of Eligible Items. Online Orders Only.
Cokesbury

Toba

  • By Mai Godfrey
$26.29
Product Description
Toba. Inamaana gani kwako? Inakuletea hali ya hofu? Au inakuletea hali ya furaha? Umeshawahi kujikuta kwenye hali ya ukavu wa kiroho ukajisikia kuwa mtupu, haijalishi nini unafanya? Iwe ni kwenda kanisani kwa ujumla, au kusali kwa kujilazimisha, chochote unachokifanya juu ya mambo ya rohoni huvutiwi nayo, hata kuomba kwako ni pasipo kuwa na msukumo wa ndani na kuishia kujisikia vibaya? Kama ndivyo hiki ni kitabu kitakachokufaa. Kitabu cha Toba cha mwandishi Mai Godfrey ni cha kipekee na chenye kukupa mwanga kwa habari ya Toba. Msomaji utakutana na kitabu chenye utaratibu muhimu wa kufanya toba, unaomsaidia mtu yeyote kuweza kuutafuta uso wa Mungu. Kitabu hiki kinaweza kuwasaidia wakristo na wasiowakristo kumjua Mungu wa kweli kwa namna tofauti baada ya kufanya toba. Ni muongozo unaoweza kutumika tena na tena, iwe ni kwa ajili ya toba tu au kwa ajili ya maombi mazuri ya kupambana na vita vya kiroho na kufunguliwa. Muongozo wake utakusaidia kuweza kuomba kwa nguvu na mamlaka na kuweza kuona matokeo unayotamani kuyapata unapoomba. Ndani ya kurasa hizi, msomaji na muombaji, utakutana na shehena kubwa ya sala zenye maelezo ya kina juu ya huduma ya mwandishi, mpangilio wake, dira yake, pamoja na shuhuda zenye uzito wa majibu ya maombi. Unapokitumia kitabu hiki, unatengeneza mahusiano yako na Mungu, pamoja na watu wanaokuzunguka. Miujiza iliyokuwa inaonekana haiwezekani, mara itaonekana kuwezekana. Anza safari yako ya kuwa muombaji mzuri leo!
free shipping iconEligible For Free Shipping
Usually ships in 4-5 business days. Ships from a Cokesbury Connect Partner.
  • Additional Details
  • Kit components
    The following items and their quantities are included in the kit product: Toba

    Quantity Included   Item Format SKU Individual Price
  • Additional Details
    Product Specs
    • SKU: 9781662894558
    • Manufacturer: Xulon Pr
    • ISBN 13: 9781662894558
    • Publication Date: 07/07/2024
    • Format: Paperback
    • Author: Mai Godfrey

     
    Shipping & Returns
    This item is available for return. At Cokesbury, we offer various expedited shipping methods for an additional charge during checkout. However, products with long lead times and those shipped from a Cokesbury Connect Partner are not eligible for expedited shipping. If you select expedited shipping at checkout and your order includes items that cannot be expedited, you will receive a notice explaining that not all items are eligible.